Nehodí se? Vůbec nevadí! U nás můžete do 30 dní vrátit
S dárkovým poukazem nešlápnete vedle. Obdarovaný si za dárkový poukaz může vybrat cokoliv z naší nabídky.
Kitabu cha watoto cha lugha mbili, Kiswahili - Kijerumani, na online audiobook na videoTim hawezi kupata usingizi. Mbwa mwitu wake mdogo amekosekana. Je, labda amemsahau nje? Tim anatoka peke yake usiku na anakutana na baadhi ya marafiki... Sikiliza hadithi isomwayo na wazungumzaji wa lugha ya asili! MPYA: Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi.Zweisprachiges Kinderbuch, Swahili - Deutsch, mit Horbuch und Video onlineTim kann nicht einschlafen. Sein kleiner Wolf ist weg! Hat er ihn vielleicht drauen vergessen? Ganz allein macht er sich auf in die Nacht - und bekommt unerwartet Gesellschaft...