Nehodí se? Vůbec nevadí! U nás můžete do 30 dní vrátit
S dárkovým poukazem nešlápnete vedle. Obdarovaný si za dárkový poukaz může vybrat cokoliv z naší nabídky.
Jimmy na ndugu zake wanapenda kucheza, na leo ni siku ya kuzaliwa kwake Jimmy. Kwa hivyo ana wanasesere wengi. Hata hivyo hapendi kugawa na ndugu zake, anaweza kukosa kujiburudisha. Hebu tujue inamaanisha nini kugawana, na kwa nini kinatufanya tuhisi vizuri zaidi!Hadithi hii inaweza kuwa bora kwa kusoma kwa watoto wako wakati wa kulala na ya kufurahisha familia nzima pia!