Nehodí se? Vůbec nevadí! U nás můžete do 30 dní vrátit
S dárkovým poukazem nešlápnete vedle. Obdarovaný si za dárkový poukaz může vybrat cokoliv z naší nabídky.
Kifo kaja duniani. Akikuchekea umekwisha ... Akikusalimu umekwisha ... Hana mdhaha ... Lakini yeye anataka watu wakubwa zaidi. Anataka kuifanya Afrika nzima iangue kilio na maombolezo amabayo hayajapata kutokea duniani. Na anataka hilo litokee siku moja, saa moja "e;Bendera zote duniani zipepee nusu mlingoti,"e; anasema akichekelea. "e;Sijawahi kushindwa "e; Jasho linawatoka watu mashuhuri: Damu inamwagika kama mchezo. Inspekta kombaro machozi yanamtoka. Joram Kiango kaduwaa.